Mashine ya kusaga mahindi na kukoboa

Mashine ya kusaga mahindi na kukoboa

Habari ya JF, Naomba kufahamu jinsi ya kuanzisha mradi wa mashine za kukoboa na kusaga nafaka kama mahindi na mpunga . Aina za mashine , changamoto na utaratibu upoje ili niweze kuchukua hatua

Nawasirisha shukrani zangu [emoji120][emoji120] kwenu wana JF
 
Mkuu kuna zile mashine zinazotumia mota moja,, yaan ya kukoboa na kusaga zote zinatumia mota moja. Mtumiaji unahamisha ile mikanda tu kutegemea na kazi unayotaka kuifanya kwa wakati husika (kukoboa au kusaga),, nazo unatengeza? Na kama unatengeneza bei yake ikoje pamoja na mota?
Ukiwa na milioni 3.5 imeisha....
 
Habari ya JF, Naomba kufahamu jinsi ya kuanzisha mradi wa mashine za kukoboa na kusaga nafaka kama mahindi na mpunga . Aina za mashine , changamoto na utaratibu upoje ili niweze kuchukua hatua

Nawasirisha shukrani zangu [emoji120][emoji120] kwenu wana JF
Sidhani kama ni biashara nzuri hasa kama unaishi mjini. Nilimuanzishia ndugu yangu kwa mashine mbili za kusaga, mbili za kukoboa na moja ya kuchekecha zote za umeme, biashara ikaanguka kutokana na soko dogo. Nikamshauri aingie kwenye kuuza sembe, yaani anunue nafaka, azisage na kufunga kwenye mifuko lakini pia ushindani ulikuwa mkubwa kiwanda kikafungwa.

Inawezekana mtu mwenyewe ndiye hakuwa najua kuichangamkia biashara hiyo lakini impression yangu haikuwa nzuri
 
Wakuu eti vinu vya kusagia mahindi, vyenye ufanis mzuri ni zilizoundwa na bati au udongo ?
 
Back
Top Bottom