Mashine ya Kutengeneza na Kukausha Chaki za Shuleni ON SALE Tsh 30mil (Milioni 30)
Karibu tufanye biashara. Call 0767 235923.
Sifa za Mashine ya Kutengeneza Chaki:
Karibu tufanye biashara. Call 0767 235923.
Sifa za Mashine ya Kutengeneza Chaki:
- Inatumia Umeme wa Single Phase;
- Ni Semi-Automatic: Inatumia Motor kuchanganya Unga wa CHaki na Maji;
- Ina Moulds (vinu) 6 za Kutengenezea Chaki. Ambapo, kila Mould ina Slots (matundu) 800;
- Uwezo wake kuzalisha kwa Siku ni angalau Pcs za Chaki 150,000;
- Inatumia umeme wa 3Phase;
- Ina Plates 96 za kukaushia Chaki;
- Ina uwezo wa kukausha angalau Pcs za chaki 300,000 kwa Siku;
- Mashine zote 2 zinauzwa Pamoja.
- Mashine zinapatikana Dar es Salaam - Ubungo.
- Mashine zote ni Mpya hazijawahi kufanya kazi.
- Bei Tajwa hapo juu haijumuishi Banda ambapo mashine hizo zimesimikwa.