Mashine ya kutengeneza pellets ya chakula cha mifugo!!!

erc30

Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
15
Reaction score
0
wadau...
ningependa kujua nitapataje mashine ya kutengeneza pellet ya chakula cha mifugo[samaki/kuku].
kuanzia ndogo ya 50kg per hr mpaka 1ton per hr. Iwe ndani ya nchi au kokote duniani [used au mpya]

Pili, bei zake zikoje?
 
Emafa wanatengeneza ya 1ton/hr na wako sin a nenda pale muulize Assenga
 
wadau...
ningependa kujua nitapataje mashine ya kutengeneza pellet ya chakula cha mifugo[samaki/kuku].
kuanzia ndogo ya 50kg per hr mpaka 1ton per hr. Iwe ndani ya nchi au kokote duniani [used au mpya]

Pili, bei zake zikoje?

Check nami
 
Back
Top Bottom