Mashine ya kutengeneza siagoi ya karanga

Mashine ya kutengeneza siagoi ya karanga

Joined
Oct 13, 2018
Posts
58
Reaction score
31
Nauza mashine zifuatazo za kutengeneza siagi ya karanga
1. Peanut grinding machine 40kghr. Price 2.4m
2 . Peanut gas roaster 50kghr .price 2m
3. Peanut skin peeler 50kghr .price 2m

Mashine zote ni imported na brand new zinatosha kufungua kiwanda kindogo Cha kutengeneza siagi ya karanga.

Mwenye kuhitaji tuwasiliane 0768550450 watsapp

IMG-20190604-WA0006.jpeg
IMG-20190610-WA0012.jpeg
IMG-20190610-WA0013.jpeg
 
Kwanini usifungue kiwanda utupe ajira mkuu.?

Tena mkulu anakuja kuzindua
 
Back
Top Bottom