ronsoti kati
Member
- Nov 23, 2019
- 11
- 6
Nenda Sido iliyo karibu nawe, utapata maelekezo yote.Habari ndugu zangu kwa pilikalilika za kutwa nzima ,nimevutiwa na ujasiliamali hivyo nikaona bora niingie katika suala la ujasiliamali.
Ndugu zangu naomba msaada kwa mtu yeyote anayefahamu mashine ya kutengenezea mifuko mbadala inapatikana wapi,na inauzwa sh ngapi .Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
na wapi malighafi zake zinapatikanaHabari ndugu zangu kwa pilikalilika za kutwa nzima ,nimevutiwa na ujasiliamali hivyo nikaona bora niingie katika suala la ujasiliamali.
Ndugu zangu naomba msaada kwa mtu yeyote anayefahamu mashine ya kutengenezea mifuko mbadala inapatikana wapi,na inauzwa sh ngapi .Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda Sido iliyo karibu nawe, utapata maelekezo yote.
Au tembelea kariakoo japo sijajua uko mkoa gani.
Kila la kheri.
Sent using Jamii Forums mobile app