ronsoti kati
Member
- Nov 23, 2019
- 11
- 6
Habari ndugu zangu kwa pilikalilika za kutwa nzima ,nimevutiwa na ujasiliamali hivyo nikaona bora niingie katika suala la ujasiliamali.
Ndugu zangu naomba msaada kwa mtu yeyote anayefahamu mashine ya kutengenezea mifuko mbadala inapatikana wapi,na inauzwa sh ngapi .Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu zangu naomba msaada kwa mtu yeyote anayefahamu mashine ya kutengenezea mifuko mbadala inapatikana wapi,na inauzwa sh ngapi .Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app