Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeitumia misimu mingap ya kilimo na ina changamoto gani?22mil only,iko full document
Sasa kwanini unaiuza na wakati tunakaribia miezi ya mavuno mkuu. By mwezi wa 4 watu wanaanza kuvunamisimu mitatu na haina shida yeyote zaidi ya operator
hata siko na mashamba hyo nlinunua kwa kazi ya kukodishia watu na malipo kwa kila saa,so from now on op tumepishana.brother kaamua kunikabidhi niweze kuitangazia iuzweSasa kwanini unaiuza na wakati tunakaribia miezi ya mavuno mkuu. By mwezi wa 4 watu wanaanza kuvuna