INAUZWA Mashine ya kuvuna mpunga KUBOTA DC-60

INAUZWA Mashine ya kuvuna mpunga KUBOTA DC-60

mr Driver

Member
Joined
Jan 6, 2023
Posts
9
Reaction score
2
nina mashine ya kuvuna mpunga aina ya KUBOTA DC-60
mawasiliano zaidi piga -
+255 627 518 825

PXL_20230107_102848441.jpg
 
#kiongozidesay hiyo mashine inavuna mpunga,Yaan inapofikia kipindi mpunga kuvunwa basi hyo mashine inafanya kazi ya kukata na kutenganisha mpunga utapita katika kinu na mapukupuku yanatokea upande wa pili hivo ww n kuchukua magunia na kuset katika mdomo wa kinu
 
Sasa kwanini unaiuza na wakati tunakaribia miezi ya mavuno mkuu. By mwezi wa 4 watu wanaanza kuvuna
hata siko na mashamba hyo nlinunua kwa kazi ya kukodishia watu na malipo kwa kila saa,so from now on op tumepishana.brother kaamua kunikabidhi niweze kuitangazia iuzwe
 
Mafundi wake wapo? Na spea pia?kama itaharibika
 
Back
Top Bottom