Mashine ya mchina inanifilisi

Mashine ya mchina inanifilisi

Habari zenu ndugu na jamaa wa JF?

Mimi nikijana mchakalikaji sana .baada ya kuona hali ya mzee baba inazidi kuwa ngumu biashara haziendi vizuri nikaona fursa saizi ziko kwenye kamari maana hata wake zetu tukiwahachia hela ya kupika wanaichezea biko na tatu mzuka ,nikatumia nafasi iyo nikaleta mashine ya betting na mashine la mchina (kodokodo) la kuingiza mia mbilimbili .kwa ujumla tangu nimeleta ivo vitu hapa kwenye biashara yangu pamechangamka hukosi vijana .

Muda mwingine unaweza jua kuna kituo cha bodaboda lakini kwa upande wangu imekua tofauti sipat faida yoyote zaidi ni hasara maana nashindwa kujizuia nakuta me mwenywewe nachezea zile tokeni ninazonunua ili niwauzie wateja kama nikichukua chenj za elfu 60 unakuta me nimeliwa elfu 20 kila siku iendayo kwa Mungu ninapoelekea nitashindwa kuendesha familia yangu .me mchina ananilipa laki 2 kwa mwezi lakini me naliwa laki 4 mpaka 6 .

Nishauri nifanye nini maana nakua teja wa hili takataka

Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo mashine haifilisi tu bali inaharibu na ubongo,jamaa yangu anashinda huko kila siku anasema ndoto yake ni kununua semi-trailer lakini kila akitoka huko anakopa hela
 
Hahahahaa, nimecheka kwa sauti mkuu sababu najua balaa la mchina. Na mchina akishaingia kwenye damu huchomoki, addiction yake zaidi ya madawa. hata nyumbani lipo kwenye biashara flani hivi. Nkichkua token za 120k, kila baada ya siku mbili mchina anakuja kufungua na analeta faida 18k.
Mkuu lako ni la kinyani, matunda au la wachezaji kina ronaldo?

Sent using Jamii Forums mobile app
La wanyama

Back
Top Bottom