Mwanakulitafuta
Senior Member
- Sep 11, 2024
- 144
- 277
Wananzengo habari za muda huu. Kuna mashine niliinunua miezi 4 iliyopita kwa sh.700,000. Sasa kuna mtu anasema nimpe aifanyie kazi kwa kuikodi ikiwa mtaji wa kila kitu na services zote ni zake. Anasema atatoa 100,000 kila mwezi ambayo sawa na sh 3300 kwa siku.
Nimemwambia angalau iwe 5000 kwa siku naona kakataa. Sasa watu wabishara humu ndani kwa uwekezaji huo ambao anataka tuufanye kweli hakuna hasara kwangu? Sio kwamba yeye namfaidisha zaidi kuliko mimi.? Naomba mnisaidie wananzengo