MkamaShapu
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 317
- 169
Bei ya mashine mpya kwa hiyo iliyoungua ni sh ngapi mkuu
Mkuu nimekusudia hizo valve zilizoungua.Hii mashine ikiwa mpya bei yake ni 550,000
Mkuu nimekusudia hizo valve zilizoungua.
Umeitumia kwa muda ganiNi mashine aina ya Boss!!
Ina hitirafu kwenye Pump( valve zimeungua na zinapatikana kariakoo)
Nakupa na vifaa vyote
Bei 350,000/=
Mazungumzo yapo!!
Sababu ya kuuza!!
Kijiwe kimekufa na sina mpango wa kuanzisha kijiwe kingine!!!...,
Napatikana Mburahati kigogo!!
View attachment 835527View attachment 835528
SawaHizo valve huwaga elfu kumi kumi tu na zinakaa tatu
Mawasiliano yako
Nitakucheck keshokutwa nikirudi dar kama bado itakuwepo tutaongea biashara0653 722605
Nitakucheck keshokutwa nikirudi dar kama bado itakuwepo tutaongea biashara
sina pesa nduguKwa nini usiweke hizo valves kwanza ndipo uuze
Hapana si mimi nduguMkamashapu nakumbuka alikuwa askari mmoja matata sana, ndiye wewe?
Njoo ucheki kwanza Alafu tutaelewana tuNakuja na lak 2.5 mkuu