Mashine za juice ya miwa zinapatikana

Mashine za juice ya miwa zinapatikana

Job Richard

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
3,876
Reaction score
2,190
MASHINE ZA JUISI YA MIWA ZIMEWASILI
MILLION MOJA NA LAKI MBILI NA NUSU TU
(1250000)

JIPATIE MASHINE YA JUISI YA MIWA IMARA NA BORA KUTOKA CHINA ZIMEWASILI SASA UMEME KIDOGO SANA

SIFA YA HIZI MASHINE MTU MMOJA ANAWEZA KUENDESHA HATA AWE MDADA ATAWEZA KUTOKANA NA URAHISI WAKE
PIA
SIFA YAKE KUBWA INACHUJA YENYEWE JUISI YAKO IKIWA SAFI KABISA
WEKA ODA YAKO SASA 0659567058 DAR ES SALAAM
ILALA
Wahi kabla hazijaisha UMEME KIDOGO SANA

Najidakia store Kwa huduma bora daima
IMG_20190404_162911_423.jpeg
IMG_20190404_162911_409.jpeg
 
Picha mbona ni ile ile toka kitambo? weka pcha nyingine inayoonyesha upande mwingine
 
Zina garantee /warranty ya mda gani? Hiyo warranty Ina cover faults zipi Maana naona hizi mashine nyingi mtaani waliozinunua hawazitumii yameachwa tu
 
Picha mbona ni ile ile toka kitambo? weka pcha nyingine inayoonyesha upande mwingine
picha ni kukuonyesha model ndugu au ilivyo hizi mashine zetu zipo ndani ya box kama hivi
IMG-20190323-WA0050.jpeg
 
Jana nimetumiwa mashine yangu ya pili kuja Mwanza baada ya ile ya kwanza niliyoagiza mwezi uliopita kufanya "maajabu" PAndisha bei ya mashine zako mkuu....hahahahaha!
Nataka kabla watu hawajashtuka niwe nazo 5.
Ubarikiwe sana mkuu.
 
Amina Mkuu karibu sana na ni furaha kwetu ukipatiwa huduma nzuri sisi kwetu mteja ni mfalme gharama ya mashine Million moja na Laki mbili yeyote karibu tuzungumze
Mwaka Jana kuna watu tuliwauzia mpaka Laki nane wanafurahia ujasiriamali
 
Mashine za juisi ya miwa zimewasili karibuni weka oda yako
0659567058
 
Zina garantee /warranty ya mda gani? Hiyo warranty Ina cover faults zipi Maana naona hizi mashine nyingi mtaani waliozinunua hawazitumii yameachwa tu
Guarantee ni mwaka mmoja Ndugu unapewa walio hudumiwa nasi ni mashahidi katika hilo
 
Back
Top Bottom