Mashine za juice ya miwa zinapatikana

Mashine za juice ya miwa zinapatikana

Naskia za kichina sio nzuri baada ya muda wakati unakamua muwa inatoa vitu vyeusi.
Hapana boss hatuna hiyo kesi pia hizi ni nzuri sababu hata parts zake tunauza pindi ikiharibika au kuleta tatizo lolote
 
Back
Top Bottom