Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
Sio kosa lako ndugu yangu Watanzania wengi wavivu kusoma bei ipo kwenye heading kabisa million moja na Laki mbiliUmetaja sifa zake umeshindwa kutaja bei? Au ukifutwa PM unaona raha!!
Andika kwa namba acha porojo..sio kosa lako ndugu yangu Watanzania wengi wavivu kusoma bei ipo kwenye heading kabisa million moja na Laki mbili
Hahah kumbe umeshindwa kusoma Kwa herufi sawa Mtoto Wa JpmAndika kwa namba acha porojo..
Wewe unasoma leo baada ya yeye kuweka bei! Mimi ameweka tu tangazo naliona na halina bei hadi alipoedit.Duh soma tangazo mzee acha kukosoa.
Wewe unasoma leo baada ya yeye kuweka bei! Mimi ameweka tu tangazo naliona na halina bei hadi alipoedit.
Nawe ujue kuwa nilikuwa hapa siku mbili zilizopita hivyo bei haikuwepo muda huo.Ila ndo ushajua hivyo
picha ni kukuonyesha model ndugu au ilivyo hizi mashine zetu zipo ndani ya box kama hiviPicha mbona ni ile ile toka kitambo? weka pcha nyingine inayoonyesha upande mwingine
Karibu sasa mashine bei ushaijua na kuionaWewe unasoma leo baada ya yeye kuweka bei! Mimi ameweka tu tangazo naliona na halina bei hadi alipoedit.
Nimekujibu Mkuu pia hizi mashine nyingi hazifiki 1hp nyingi ni 0.75mkuu angalia PM nimekutumia sasa hivi...
Amina Mkuu karibu sana na ni furaha kwetu ukipatiwa huduma nzuri sisi kwetu mteja ni mfalme gharama ya mashine Million moja na Laki mbili yeyote karibu tuzungumzeJana nimetumiwa mashine yangu ya pili kuja Mwanza baada ya ile ya kwanza niliyoagiza mwezi uliopita kufanya "maajabu" PAndisha bei ya mashine zako mkuu....hahahahaha!
Nataka kabla watu hawajashtuka niwe nazo 5.
Ubarikiwe sana mkuu.
Guarantee ni mwaka mmoja Ndugu unapewa walio hudumiwa nasi ni mashahidi katika hiloZina garantee /warranty ya mda gani? Hiyo warranty Ina cover faults zipi Maana naona hizi mashine nyingi mtaani waliozinunua hawazitumii yameachwa tu
Naskia za kichina sio nzuri baada ya muda wakati unakamua muwa inatoa vitu vyeusi.Guarantee ni mwaka mmoja Ndugu unapewa walio hudumiwa nasi ni mashahidi katika hilo