Mashine za juice ya miwa zinapatikana

Mashine za juisi ya miwa zenye ubora na kuchuja zenyewe juisi yako ikiiacha ikiwa safi kabisa pia kiyendeshaji hazisumbui zinatumia umeme Wa majumbani karibu tukuhudumie tunapatikana kariakoo msimbazi
store yetu ilala lolote 0659567058
 
Naskia za kichina sio nzuri baada ya muda wakati unakamua muwa inatoa vitu vyeusi.
Hiyo "nasikia" kwanini usiende kwa muuza juisi ukaone jinsi mtambo huo unavyofanya kazi? Muwa unapta mara moja tu hakuna kuruia, inachuja yenyewe....

Kapi linalotoka unaweza kupiga kiberiti likawaka maana inakamua hakuna kubakiza hata tone la juisi maana muwa unapita kwenye roller 3 wakati hizi made in Sido niroller mbili.

Hapa jijini MWanza ni mimi tu mwenye mashine hizi maana hap kijiweni kwangu limegeuga banda la maonyesho ya saba saba! Asante JF maana ni hapa nilipojifunza juu ya mashine zenye roller 3
 
Naelewa lakini najiuliza tu kwa nini mtu akanunue ya sido @1.5 m ya roller mbili wakati ya kichina roller 3 ni chini ya hapo?Tafakari lazima kuna namna sio bure.
 
Naskia za kichina sio nzuri baada ya muda wakati unakamua muwa inatoa vitu vyeusi.
Huyo aliekuambia kaongea asichokijua kila mashine ukiitumia vibaya itaharibika tu Nina mwaka Wa pili kwenye hizi mashine sina lawama Hata moja na lolote tunawasaidia
 
Naelewa lakini najiuliza tu kwa nini mtu akanunue ya sido @1.5 m ya roller mbili wakati ya kichina roller 3 ni chini ya hapo?Tafakari lazima kuna namna sio bure.
Mkuu china uzalishaji Wa mashine au bidhaa nyingi ni chini ndio maana gharama za mashine zipo chini NA UKISEMA CHINA MASHINE SIO BORA NIAMBIE SOKO LA USA NANI ANATAMBA?
ZA HAPA TUNAZITENGENEZA PIA ILA GHARAMA IPO JUU VIFAA
 
a Piga Kazi Mkuu waache wanaokushangaa mashine zinagombaniwa kama njugu za mbeya anaetaka karibu waeleze Dunia ishabadilika 0659567058 weka oda mashine yako ya juisi ya miwa
 
Jana nimetumiwa mashine yangu ya pili kuja Mwanza baada ya ile ya kwanza niliyoagiza mwezi uliopita kufanya "maajabu" PAndisha bei ya mashine zako mkuu....hahahahaha!
Nataka kabla watu hawajashtuka niwe nazo 5.
Ubarikiwe sana mkuu.
propaganda za zaman hzo nyie ndo mnafanya wanunuz waanze kua na wasiwas na bidhaa zenu miruz ming humpoteza ndege
 
propaganda za zaman hzo nyie ndo mnafanya wanunuz waanze kua na wasiwas na bidhaa zenu miruz ming humpoteza ndege
Mkuu acha kukalili maisha, wakati upo unaponda hapa JF, mashine yangu ya tatu inatumwa leo kuja MWanza! Asante JF
 
Mh! kweli JF ni msitu mkubwa, inaonekana wewe hujawai kutuma au kupokea kifurushi kwenye mabassi sio?
Daaah..!! kwer Jf n msitu mkubwa sijui kwa uko kwenu uku kwetu vifurush hua tunanunua na kutumua kwa njia ya simu kupitia mawakala mfno kifulush cha halichach tigo au saiz yako unatumaje kwa njia ya gar kikufikie kwenye simu au umemoka sigara bubu ndugu
 
Naomba Nije kujifunza kwako mkuu,,, unapatikana Mwanza sehemu gani
Nina vijiwe vitatu kwahiyo inategemea upo sehemu gani ambapo ni karibu....Kona ya Bwiru, Nyasaka, Kiseke
 
Hakuna wa dar mwenye hiyo mashine wakuu? Tujionee kwanza.
 
Sis huku Rukwa miwa tunatafna wenyewe sio mpaka tutafniwe kama wa Dar
 
Hakuna wa dar mwenye hiyo mashine wakuu? Tujionee kwanza.
Mkuu namba zangu na ofisi zipo wazi huuziwi Mashine uchochoni Nina Verified I'd Job Richard namba ya ofisi 0762612213 najidakia store Kwetu huduma kwanza
mashine zimeingia wenye oda zao karibuni sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…