mashine za kufumia masweta zinauzwa

mashine za kufumia masweta zinauzwa

Mbudi

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
597
Reaction score
162
mashine za kufumia masweta zinauzwa ziko tatu pia zina hali nzuri kabisa sio za wizi ni mtu kapatwa shida ndio anaziuza zipo complete ziko mwanza kama kunaanaye hita ji ani pm tufanye biashara bei nzuri kabisa
 
Kwa nini hujaweka bei?Ni za wizi hujui bei au ni dalali.
 
Unayeuza Uko mkoa gani, itabidi utafute maeneo ya baridi ili upate walau soko
 
mashine za kufumia masweta zinauzwa ziko tatu pia zina hali nzuri kabisa sio za wizi ni mtu kapatwa shida ndio anaziuza zipo complete ziko mwanza kama kunaanaye hita ji ani pm tufanye biashara bei nzuri kabisa
Ni PM kwa bei,naweza hitaji kama .
 
Weka bei bwana mambo ya ni pm huo ni ubabaishaji na udalali usio kua na tija, umekuja kuweka Tangazo lako hapa kwenye uzi hujaitwa na mtu bei mpaka tukutoze? Puuumbaavu
 
Pich tuzione na useme hizi mashine ni manual au computerized
 
Back
Top Bottom