mashine za kufumia masweta zinauzwa ziko tatu pia zina hali nzuri kabisa sio za wizi ni mtu kapatwa shida ndio anaziuza zipo complete ziko mwanza kama kunaanaye hita ji ani pm tufanye biashara bei nzuri kabisa

Weka bei bwana mambo ya ni pm huo ni ubabaishaji na udalali usio kua na tija, umekuja kuweka Tangazo lako hapa kwenye uzi hujaitwa na mtu bei mpaka tukutoze? Puuumbaavu