mr.chengachenga
Senior Member
- Mar 6, 2014
- 155
- 104
habari zenu wapendwa wa jf.
kama kichwa cha habari kinavyosema,ninaomba kwa mtu yeyote anaejua bei ya mashine za kufungia bidhaa mbalimbali kama karanga na popcorn anisaidie kuniambia bei na upatikanaji wake.
mashine ninayoihitaji ni zile ndogo kabisa na zile za kati tu,kwani tuna kikundi chetu tumeanzisha kwa ajili ya kujikwamua na maisha hivyo hatuna mtaji mkubwa lakini kidogo tulichonacho tunatakaa kukitumia vizuri ili tupate maendeleo tunayoyahitaji.
natanguliza shukrani kwa wote watakaochangia.