Mashine za kufungia bidhaa ndogondogo

Mashine za kufungia bidhaa ndogondogo

mr.chengachenga

Senior Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
155
Reaction score
104
habari zenu wapendwa wa jf.
kama kichwa cha habari kinavyosema,ninaomba kwa mtu yeyote anaejua bei ya mashine za kufungia bidhaa mbalimbali kama karanga na popcorn anisaidie kuniambia bei na upatikanaji wake.
mashine ninayoihitaji ni zile ndogo kabisa na zile za kati tu,kwani tuna kikundi chetu tumeanzisha kwa ajili ya kujikwamua na maisha hivyo hatuna mtaji mkubwa lakini kidogo tulichonacho tunatakaa kukitumia vizuri ili tupate maendeleo tunayoyahitaji.
natanguliza shukrani kwa wote watakaochangia.
 
Anza na kibatali au Gan za kutengenezea redio/simu.

Itafanya kazi hio .

Vyenginevyo kama unayo laki 3 nitakupatia ya kwangu , ni zize ya kati.
Original nilitumia kama miezi sita Dukani kupekia maharage ,michele nk.
 
kuna mtu nilimuonaga akifunga bidhaa zake kwa mashine ndogo tu inayotumia umeme huko Dar sasa mimi nko arusha nashindwa kumuuliza aliipata wapi hyo mashine.
naomba unielezee kidogo hiyo mashine yako inafanyaje kazi na uniwekee picha.
asante kwa mchango wako wa awali kwa kunipa mwangaza.
 
mkuu nitakuwekea picha ila sina uhakika kama ndio ulioiona coz hizi mashine ziko aina tofauti.

nikipata muda ndani ya wiki hii nita kuwekea picha,kwasababu niko bize kidogo ila nitakuwekea.
 
habari zenu wapendwa wa jf.

kama kichwa cha habari kinavyosema,ninaomba kwa mtu yeyote anaejua bei ya mashine za kufungia bidhaa mbalimbali kama karanga na popcorn anisaidie kuniambia bei na upatikanaji wake.

mashine ninayoihitaji ni zile ndogo kabisa na zile za kati tu,kwani tuna kikundi chetu tumeanzisha kwa ajili ya kujikwamua na maisha hivyo hatuna mtaji mkubwa lakini kidogo tulichonacho tunatakaa kukitumia vizuri ili tupate maendeleo tunayoyahitaji.

natanguliza shukrani kwa wote watakaochangia.

Izo mashine zinaitwa impulse sealer..yangu niliinunua hapa kariakoo kwa 35000/= (thalathini na tano elfu tu) wala sio laki tatu kama anavotaka kukuaminisha kiongozi hapo juu. Size kubwa inafika elfy hamsin na tano mpaka hamsini unachukua.
 
habari zenu wapendwa wa jf.
kama kichwa cha habari kinavyosema,ninaomba kwa mtu yeyote anaejua bei ya mashine za kufungia bidhaa mbalimbali kama karanga na popcorn anisaidie kuniambia bei na upatikanaji wake.
mashine ninayoihitaji ni zile ndogo kabisa na zile za kati tu,kwani tuna kikundi chetu tumeanzisha kwa ajili ya kujikwamua na maisha hivyo hatuna mtaji mkubwa lakini kidogo tulichonacho tunatakaa kukitumia vizuri ili tupate maendeleo tunayoyahitaji.
natanguliza shukrani kwa wote watakaochangia.

Anza na kibatali au Gan za kutengenezea redio/simu.

Itafanya kazi hio .

Vyenginevyo kama unayo laki 3 nitakupatia ya kwangu , ni zize ya kati.
Original nilitumia kama miezi sita Dukani kupekia maharage ,michele nk.

Jamani hata mie natafuta mashine kama hiyo jamani!

Izo mashine zinaitwa impulse sealer..yangu niliinunua hapa kariakoo kwa 35000/= (thalathini na tano elfu tu) wala sio laki tatu kama anavotaka kukuaminisha kiongozi hapo juu. Size kubwa inafika elfy hamsin na tano mpaka hamsini unachukua.

Hii hapa sina kazi nayo kwa sasa,ilibaki moja tu nipe elfu 39,500/=TSHS inatumia umeme.
Ni mpyaaa haijawahi tumika,namba hii 0713 430 630
 
Attachments

  • 1422363560863.jpg
    1422363560863.jpg
    34.4 KB · Views: 217
  • 1422363576568.jpg
    1422363576568.jpg
    34.7 KB · Views: 218
  • 1422363590486.jpg
    1422363590486.jpg
    32 KB · Views: 213
  • 1422363602906.jpg
    1422363602906.jpg
    53.5 KB · Views: 186
  • 1422363615663.jpg
    1422363615663.jpg
    51.4 KB · Views: 176
Hii hapa sina kazi nayo kwa sasa,ilibaki moja tu nipe elfu 39,500/=TSHS inatumia umeme.
Ni mpyaaa haijawahi tumika,namba hii 0713 430 630

Mkuu hizi mashine ziko tofauti kama vile zilivyo mashine nyengine,natofauti yake ni ubora.

Mkwamfano: sikumoja nilienda mjini lilitaka kununua gage ya kompresa ya upepo niliikuta moja 25 elfu. Na nikaikuta nyengine yenye muonekano sawa laki na ishirini.(tofauti ni ubora wa mashine.
Au kama vile pikipiki za kichina na kijapan pengine zote ni 125hp lakini tofauti kubwa ya bei.

Mashine yangu ni hii hapa.ImageUploadedByJamiiForums1422492078.217103.jpgImageUploadedByJamiiForums1422492099.050801.jpgImageUploadedByJamiiForums1422492120.516716.jpgImageUploadedByJamiiForums1422492137.654784.jpgImageUploadedByJamiiForums1422492166.966782.jpg
 
mkuu nitakuwekea picha ila sina uhakika kama ndio ulioiona coz hizi mashine ziko aina tofauti.

nikipata muda ndani ya wiki hii nita kuwekea picha,kwasababu niko bize kidogo ila nitakuwekea.

asante mpendwa kwa msaada wako
 
Izo mashine zinaitwa impulse sealer..yangu niliinunua hapa kariakoo kwa 35000/= (thalathini na tano elfu tu) wala sio laki tatu kama anavotaka kukuaminisha kiongozi hapo juu. Size kubwa inafika elfy hamsin na tano mpaka hamsini unachukua.

sawa mkuu asante kwa muongozo wako.
hii ndio mashine niliyoionaga kwa huyo mtu,hivi hii mashine inawwza kufanya kazi kwa masaa zaidi ya 7 bila kuhitaji kupumzishwa?
 
Kkoo zikejaa kibao soko kuu pale.Original kubwa 70000 ndogo 35000.Fake ndogo 20000 kubwa 40000-50000
 
Back
Top Bottom