mr.chengachenga
Senior Member
- Mar 6, 2014
- 155
- 104
Anza na kibatali au Gan za kutengenezea redio/simu.
Itafanya kazi hio .
Vyenginevyo kama unayo laki 3 nitakupatia ya kwangu , ni zize ya kati.
Original nilitumia kama miezi sita Dukani kupekia maharage ,michele nk.
kuna mtu nilimuonaga akifunga bidhaa zake kwa mashine ndogo tu inayotumia umeme huko Dar sasa mimi nko arusha nashindwa kumuuliza aliipata wapi hyo mashine.
naomba unielezee kidogo hiyo mashine yako inafanyaje kazi na uniwekee picha.
asante kwa mchango wako wa awali kwa kunipa mwangaza.
habari zenu wapendwa wa jf.
kama kichwa cha habari kinavyosema,ninaomba kwa mtu yeyote anaejua bei ya mashine za kufungia bidhaa mbalimbali kama karanga na popcorn anisaidie kuniambia bei na upatikanaji wake.
mashine ninayoihitaji ni zile ndogo kabisa na zile za kati tu,kwani tuna kikundi chetu tumeanzisha kwa ajili ya kujikwamua na maisha hivyo hatuna mtaji mkubwa lakini kidogo tulichonacho tunatakaa kukitumia vizuri ili tupate maendeleo tunayoyahitaji.
natanguliza shukrani kwa wote watakaochangia.
habari zenu wapendwa wa jf.
kama kichwa cha habari kinavyosema,ninaomba kwa mtu yeyote anaejua bei ya mashine za kufungia bidhaa mbalimbali kama karanga na popcorn anisaidie kuniambia bei na upatikanaji wake.
mashine ninayoihitaji ni zile ndogo kabisa na zile za kati tu,kwani tuna kikundi chetu tumeanzisha kwa ajili ya kujikwamua na maisha hivyo hatuna mtaji mkubwa lakini kidogo tulichonacho tunatakaa kukitumia vizuri ili tupate maendeleo tunayoyahitaji.
natanguliza shukrani kwa wote watakaochangia.
Anza na kibatali au Gan za kutengenezea redio/simu.
Itafanya kazi hio .
Vyenginevyo kama unayo laki 3 nitakupatia ya kwangu , ni zize ya kati.
Original nilitumia kama miezi sita Dukani kupekia maharage ,michele nk.
Jamani hata mie natafuta mashine kama hiyo jamani!
Izo mashine zinaitwa impulse sealer..yangu niliinunua hapa kariakoo kwa 35000/= (thalathini na tano elfu tu) wala sio laki tatu kama anavotaka kukuaminisha kiongozi hapo juu. Size kubwa inafika elfy hamsin na tano mpaka hamsini unachukua.
Hii hapa sina kazi nayo kwa sasa,ilibaki moja tu nipe elfu 39,500/=TSHS inatumia umeme.
Ni mpyaaa haijawahi tumika,namba hii 0713 430 630
mkuu nitakuwekea picha ila sina uhakika kama ndio ulioiona coz hizi mashine ziko aina tofauti.
nikipata muda ndani ya wiki hii nita kuwekea picha,kwasababu niko bize kidogo ila nitakuwekea.