Kuna mota pale mkuu halafu unauliza inatumia nishati gani...wamemaliza maonyesho Jana,nimejipatia moja kwa usd 600,zilikuwepo pia Hadi usd 500, wameacha makubaliano na watakaokuwa mawakala wao hapa tz,nadhani farmers center wa dar ni mojawapo ya mawakala tarajiwa