INAUZWA Mashine za kukamulia ng'ombe

INAUZWA Mashine za kukamulia ng'ombe

Babsap

Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
17
Reaction score
19
Wanao hitaji mashine za kukamulia ng'ombe wanicheki. Zimebaki 2 tu.
Ni mashine nzuri sana kutoka UTURUKI.
20170823_175436.jpg
20170823_175351.jpg
20170823_175339.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ivi na mashine za kutengeneza kinyesi cha ng'ombe kuwa BIOGAS
Na mashine ya kuitoa iyo BIOGAS kuiweka katika mitungi ya Gas
 
Weka pia bei, inatumia nishati gani nk

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mota pale mkuu halafu unauliza inatumia nishati gani...wamemaliza maonyesho Jana,nimejipatia moja kwa usd 600,zilikuwepo pia Hadi usd 500, wameacha makubaliano na watakaokuwa mawakala wao hapa tz,nadhani farmers center wa dar ni mojawapo ya mawakala tarajiwa
 
Kwa hiyo bei, nadhani ni fursa nzuri kwa wafugaji na hata wachungaji wa ngo'mbe. Changamkieni kwani bei yake ni ya kawaida sana ukilinganisha na faida utakayopata ukiwa nayo.
 
Back
Top Bottom