Mashine za kusaga na kuchanganya chakula cha mifugo na za kutengeneza Pellets

Baraka21

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2021
Posts
1,262
Reaction score
3,184
Wakuu nauliza mashine za bei rahisi hasa hizi local za kusaga, kuchanganya na kutengeneza pellets za mifugo kwa hapa Tanzania zinapatikana wapi na kwa bei gani? Nataka hizi ndogo kabisa zinazotumia umeme wa single phase.

Sitaki majibu ya agiza China, ninajua China ipo na local zipo nataka hizi local za kizalendo.

Ndogo na ambazo zinahamishika kirahisi.

cc bluetooth
 
Nenda Sido, rated,Veta, Jkt, na duka flani linaitwa Sokoni nipo Mtaa. Mkuruma kama upo dar.
 
Nunua za kutoka China utakuja kunishukuru.

Screenshot_20211002-190515_Chrome.jpg

Screenshot_20210926-125056_Facebook.jpg
 
Kuna huyu jamaa anaitwa 'Revogatus Ngowi' fb anajitangaza, anatengeneza hizo mashine kwa Arusha ila ana-supply popote pale mkipatana
 
Wakuu nauliza mashine za bei rahisi hasa hizi local za kusaga, kuchanganya na kutengeneza pellets za mifugo kwa hapa Tanzania zinapatikana wapi na kwa bei gani? Nataka hizi ndogo kabisa zinazotumia umeme wa single phase.

Sitaki majibu ya agiza China, ninajua China ipo na local zipo nataka hizi local za kizalendo.

Ndogo na ambazo zinahamishika kirahisi.

cc bluetooth
Tuwasiliane inbox kujua details halisi unazohitaji... Then tufike muafaka
 
Weka mashine ulizonazo hapa kwa faida ya wengi. Ziwe ndogo ambazo zinatumia single phase.
Zinatengenezwa kwa oda. Hivyo unasikilizwa details zako mteja unazotaka wewe maelezo yote ndio ijulikane ya aina yako ni ipi na bei itakuaje.
 
Wakuu nauliza mashine za bei rahisi hasa hizi local za kusaga, kuchanganya na kutengeneza pellets za mifugo kwa hapa Tanzania zinapatikana wapi na kwa bei gani? Nataka hizi ndogo kabisa zinazotumia umeme wa single phase.

Sitaki majibu ya agiza China, ninajua China ipo na local zipo nataka hizi local za kizalendo.

Ndogo na ambazo zinahamishika kirahisi.

cc bluetooth
Bado unahitaji mashine ya pellets?
Ninayo moja mpya kabisa, bei sh 1,600,000

0767659145, 0620246040
 
Back
Top Bottom