Nenda Sido, rated,Veta, Jkt, na duka flani linaitwa Sokoni nipo Mtaa. Mkuruma kama upo dar.Wakuu nauliza mashine za bei rahisi hasa hizi local za kusaga, kuchanganya na kutengeneza pellets za mifugo kwa hapa Tanzania zinapatikana wapi na kwa bei gani? Nataka hizi ndogo kabisa zinazotumia umeme wa single phase.
Sitaki majibu ya agiza China, ninajua China ipo na local zipo nataka hizi local za kizalendo.
Ndogo na ambazo zinahamishika kirahisi.
cc bluetooth
Bei
Tuwasiliane inbox kujua details halisi unazohitaji... Then tufike muafakaWakuu nauliza mashine za bei rahisi hasa hizi local za kusaga, kuchanganya na kutengeneza pellets za mifugo kwa hapa Tanzania zinapatikana wapi na kwa bei gani? Nataka hizi ndogo kabisa zinazotumia umeme wa single phase.
Sitaki majibu ya agiza China, ninajua China ipo na local zipo nataka hizi local za kizalendo.
Ndogo na ambazo zinahamishika kirahisi.
cc bluetooth
Zinatengenezwa kwa oda. Hivyo unasikilizwa details zako mteja unazotaka wewe maelezo yote ndio ijulikane ya aina yako ni ipi na bei itakuaje.Weka mashine ulizonazo hapa kwa faida ya wengi. Ziwe ndogo ambazo zinatumia single phase.
Unapatikana wap mkuu?Zinatengenezwa kwa oda. Hivyo unasikilizwa details zako mteja unazotaka wewe maelezo yote ndio ijulikane ya aina yako ni ipi na bei itakuaje.
Ilomba-mbeya... Na huduma unafikiwa mkoa wowote uleUnapatikana wap mkuu?
Utofauti wake ni nini boss?kutoka china na zakutengeneza bongo,ubora?spare?elezea ili mtu aone wapi panafaa
Bado unahitaji mashine ya pellets?Wakuu nauliza mashine za bei rahisi hasa hizi local za kusaga, kuchanganya na kutengeneza pellets za mifugo kwa hapa Tanzania zinapatikana wapi na kwa bei gani? Nataka hizi ndogo kabisa zinazotumia umeme wa single phase.
Sitaki majibu ya agiza China, ninajua China ipo na local zipo nataka hizi local za kizalendo.
Ndogo na ambazo zinahamishika kirahisi.
cc bluetooth
Imetengenezewa wapi mkuu?Bado unahitaji mashine ya pellets?
Ninayo moja mpya kabisa, bei sh 1,600,000
0767659145, 0620246040