Hello JF Members, ninataka kununua mashine za kusaga na kukoboa nafaka zinazotumia umeme, pamoja na mashine ya kushona mifuko(vigunia) ya nafaka. Naomba yeyote anaejua wapi naweza pata mashine hizo Mwanza au Dar aweze kunifahamisha. Thanks in advance.