Mashine za kusaga na kukoboa nafaka

Mashine za kusaga na kukoboa nafaka

FELIPE

Senior Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
107
Reaction score
45
Hello JF Members, ninataka kununua mashine za kusaga na kukoboa nafaka zinazotumia umeme, pamoja na mashine ya kushona mifuko(vigunia) ya nafaka. Naomba yeyote anaejua wapi naweza pata mashine hizo Mwanza au Dar aweze kunifahamisha. Thanks in advance.
 
nenda chuo kikuu cha Dar es salam upande wa engineering wanatengeneza mashine nzur sana.
 
Back
Top Bottom