conservative3
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 1,129
- 790
asante ndugu.hizo ndogu ni za umeme au dizeliNafaham pale ubungo (nyuma ya landmark hotel) wanatengeneza bei zake zilikua kuanzia 2.5 milion na kuendelea kulingana na ukubwa/uwezo wa mashine.
Ni zaumemeasante ndugu.hizo ndogu ni za umeme au dizeli
ha ha ha! mungu aweke heri! ngoja tujaribu kaka mwezi ujao nikawatembeleeNi zaumeme
Ukishaanza uzalishaji naomba unitume (uniajiri) mkuu
kuna wakati sido nilikwenda mwezi ulopita nikaomba niambiwe iko ofisi ipi ya sido nipewa stori tu na kuonyeshwa mashine zingine hiyo haikuwepoPia nadhani hata SIDO zitakuwepo tuu
Sawa mkuukuna wakati sido nilikwenda mwezi ulopita nikaomba niambiwe iko ofisi ipi ya sido nipewa stori tu na kuonyeshwa mashine zingine hiyo haikuwepo
bila shaka kitakua cha pale tegeta nyaishozi,,[emoji16][emoji16][emoji16] vp mkuu mnanunua mahindi au tayari mnaoda toka kwa mtu ambaye anawaleteagaSawa mkuu
Ngoja nicheki kwenye kumbukumbu zangu kama nikiiona namba ya injinia huyo (wa hapo ubungo ) nitakupatia.
Mimi ninafanya kazi ktk kiwanda kimoja wapo cha kuzalisha chakula cha mifugo hapa dar.
Hahahabila shaka kitakua cha pale tegeta nyaishozi,,[emoji16][emoji16][emoji16] vp mkuu mnanunua mahindi au tayari mnaoda toka kwa mtu ambaye anawaleteaga
Waone SIDO Mkuusalaam!
nimeanzisha ufugaji na nataka kuwa na shamba kubwa la ufugaji,eneo nimepata na nimeanza kiasi sehemu nyingine kabla sijahamia rasmi kwenye shamba kubwa
gharama ya kununua chakula iko juu,je kuna mtu anafahamu sehemu ambapo mashine zinauzwa za kutengeneza vyakula vya mifugo hasa kuku.na wastani bei kiasi gani kwa mashine hizo?
zinatumia mafuta au umeme?
naomba msaada
nina gunia 150,,gunia moja nauza 120,000,,kiwanda kipo sehem gan hapo dar,,niuganishe mkuu niwe nawakusanyia mahindi na mashudu then nawaleteeni hapoHahaha
Sio cha tegeta,
Na mahindi hatuna oda hivyo unaweza nambia kama unayo unauzaje maana karibu tutayahitaji mkuu
Gunia la kilo ngapi?nina gunia 150,,gunia moja nauza 120,000,,kiwanda kipo sehem gan hapo dar,,niuganishe mkuu niwe nawakusanyia mahindi na mashudu then nawaleteeni hapo
Duh..gunia la kilo 100,,sijawai kuuza mahind kwa kilo lakini ninavyojua kilo ni sh 1200
yale ya ugali kaka,,,niliuza kidogo kwenye kiwanda cha unga kipo igwachanya mkoani njombe,,coz hata mimi nalimia na kujumua huko njombe kijijiniDuh..
Mahindi yako ni yale ya wanyama au ni yale mazuri yakufaa ugali kabisa?
Hapo sawa mkuuyale ya ugali kaka,,,niliuza kidogo kwenye kiwanda cha unga kipo igwachanya mkoani njombe,,coz hata mimi nalimia na kujumua huko njombe kijijini
Kuna ant yangu anayo (pichan). Aliitumia kama miezi mitano akaacha kwa sababu alikosa formula sahihi ya kutengeneza vyakula. Ipo Iringa mjini na ina weza kuchanganya tani 10 kwa siku. Ni ya umeme lakn under modification inaweza kufungwa engine ya diesel. Kama upo serious tuwasiliane.salaam!
nimeanzisha ufugaji na nataka kuwa na shamba kubwa la ufugaji,eneo nimepata na nimeanza kiasi sehemu nyingine kabla sijahamia rasmi kwenye shamba kubwa
gharama ya kununua chakula iko juu,je kuna mtu anafahamu sehemu ambapo mashine zinauzwa za kutengeneza vyakula vya mifugo hasa kuku.na wastani bei kiasi gani kwa mashine hizo?
zinatumia mafuta au umeme?
naomba msaada
Je, aunt wako hahitaji formula kwa sasa?Kuna ant yangu anayo (pichan). Aliitumia kama miezi mitano akaacha kwa sababu alikosa formula sahihi ya kutengeneza vyakula. Ipo Iringa mjini na ina weza kuchanganya tani 10 kwa siku. Ni ya umeme lakn under modification inaweza kufungwa engine ya diesel. Kama upo serious tuwasiliane.
nimekuelewa kakaHapo sawa mkuu
Mahindi ya chakula cha mifugo kidogo yako chini ya bei yako maana huwa na ubora mdogo pia