Bashatu
JF-Expert Member
- Nov 8, 2015
- 834
- 885
Unazo?Je, aunt wako hahitaji formula kwa sasa?
Tushirikishane kama inawezekana tafadhari. Alijaribu formula nyingi lakn matokeo hayakiwa mazuri sana ikabidi arudi kununua chakula kutoka silverlands, ingawa kipo juu bei yake.