Unazo?Je, aunt wako hahitaji formula kwa sasa?
Njoo Pm utaniachia namba yako hukoUnazo?
Tushirikishane kama inawezekana tafadhari. Alijaribu formula nyingi lakn matokeo hayakiwa mazuri sana ikabidi arudi kununua chakula kutoka silverlands, ingawa kipo juu bei yake.
nahitaji mahindiyale ya ugali kaka,,,niliuza kidogo kwenye kiwanda cha unga kipo igwachanya mkoani njombe,,coz hata mimi nalimia na kujumua huko njombe kijijini
Nimekutumia mkuuNjoo Pm utaniachia namba yako huko
Kiukweli mkuu sijawahi kuingia inbox yangu na sijui. Labda naomba unitumie kwa whatsapp.Nimekutumia mkuu
thx kaka ngoja nimcheknahitaji mahindi
Hiyo link ni jamaa anahitaji mahindi, hebu pitia hapo mkuu
Mkuu Hebu Tupia hiyo fomula tujifunze nasisiJe, aunt wako hahitaji formula kwa sasa?
Acha utani 120000 au umekosea sifuri moja maana hapa Arusha tu gunia 50000,au unuzia sudan nini hayo mahindi yako?nina gunia 150,,gunia moja nauza 120,000,,kiwanda kipo sehem gan hapo dar,,niuganishe mkuu niwe nawakusanyia mahindi na mashudu then nawaleteeni hapo
Angaliaga na mwakaAcha utani 120000 au umekosea sifuri moja maana hapa Arusha tu gunia 50000,au unuzia sudan nini hayo mahindi yako?