Mashine za kutengeneza stick (tooth pick)

Mashine za kutengeneza stick (tooth pick)

BALIKUMI

Member
Joined
Mar 13, 2015
Posts
30
Reaction score
9
Habari wanajamii forum wenzangu naombeni msaada kwa anayejua bei ya mashine za kutengeneza stick tooth pick.
 
Kutokana na ukubwa wa mtambo kuna wa dola 500 hadi 20000,
source alibaba
 
Mtambo wa kutengenezea stick (tooth pick) unashamba la miti inayotengenezea tooth pick au mtambo wa maonesho?
 
Habari wanajamii forum wenzangu naombeni msaada kwa anayejua bei ya mashine za kutengeneza stick tooth pick.
Ukitaka kuagiza kutoka china kwa kupitia website ya alibaba...karibu nikuhudumie..ntakupa plan nzima mpaka mzigo wako kukufikia.
 
Mtambo wa kutengenezea stick (tooth pick) unashamba la miti inayotengenezea tooth pick au mtambo wa maonesho?

...Tanzania tuna tree plantations za kutosha mbona? au wataka kusema haifai kwa tooth pick?
 
Back
Top Bottom