Habari Wakuu,
Naomba msaada kwa mtu yoyote mwenye information za wapi naweza kupata mashine za kutengeneza toothpics, nahitaji kujua pia zipo za aina gani, ubora na bei pia.
Nafikiria kufanya investment ya kiwanda kidogo cha kutengeneza toothpics. Na kwa yeyote mwenye ushauri pia ntashukuru.
Asanteni.