Mashine Za kutengeneza Toothpics.

Mashine Za kutengeneza Toothpics.

Tembele

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2011
Posts
1,152
Reaction score
343
Habari Wakuu,

Naomba msaada kwa mtu yoyote mwenye information za wapi naweza kupata mashine za kutengeneza toothpics, nahitaji kujua pia zipo za aina gani, ubora na bei pia.

Nafikiria kufanya investment ya kiwanda kidogo cha kutengeneza toothpics. Na kwa yeyote mwenye ushauri pia ntashukuru.

Asanteni.
 
Google is your best friend!
 
cheki alibaba uta ona na bei na makadilio mpaka kufika dar bandalini.
 
Back
Top Bottom