Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Kumekuwa na huu utaratibu wa kuweka mashine ambapo mteja anatakiwa kuchukua coupon na kusubiri kuitwa ndio apate huduma; Naomba kupata maoni yako
1. Kama unazipenda au kama huzipendi na kwa nini?
2. Je zinapunguza muda wa kusubiri huduma ya Bank au Zinaongeza?
3. Nini kiboreshwe?
1. Kama unazipenda au kama huzipendi na kwa nini?
2. Je zinapunguza muda wa kusubiri huduma ya Bank au Zinaongeza?
3. Nini kiboreshwe?