Talatala Farms
New Member
- Mar 18, 2018
- 3
- 0
Habari, Naulizia incubators za solar naweza kupata wapi. Nipo Dodoma vijijiniMdau hizo made in tanzania zina guarantee ya mda gan? Mimi nahitaji za mayai 1000 na pia sehemu ambayo naweza kupata hayo mayai please jibu bajeti kuanzia 2m/
Habari, Naulizia incubators za solar naweza kupata wapi. Nipo Dodoma vijijini
mkuu kitu ambacho sijaelewa hizi machine zinafanyeje kazi yani mfano kuku wa kienyeji akitaga tu naweza kuweka kwenye machine hiyo na kifaranga kikatoka au inakuwaje?Mkuu DHL ni very expensive ni around USD 200, mpaka Dar, so nakushauru usbiri kuna ambazo zinafanyiwa process ya kutumwa ambazo ni JN8-48 na mwezi ujao mwishoni zitakuwa zishafika Tanzania
So ukisema uagize kwa DHL mpaka uifikishe Bongo itakuwa imekutoka kilo Sita, hapo ni pamoja na ghalama za kutuma pesa, kusafirisha na bei yake make yenyewe ni around USD 120 plus DHL USD 199 na plus USD 29 za kutuma pesa hapo ni kwa Western Union ila kwa CRD ni zaidi ya hapo kwa mabenki mengine mimi sijui
so utaona inakuja kwenye 567,240/ na wale jamaa ukiagiza moja bei ni tofauti na ukioagiza 10 ila kwa Njia ya Meli ni very Cheap kwa sababu wanachaji kwa CBM
Unakusanya mayai idadi ya uwezo wa mashine mfano kuna za mayai 42 mpaka 8000. Hivyo yakifika idadi ya uwezo wa mashine unayaweka kwenye mashine(fuatilia jinsi ya kuweka kweny kijitabu cha maelezo) then unaweka maji na kuunganisha kwenye umeme ili kupata joto na unyevunyevu.mkuu kitu ambacho sijaelewa hizi machine zinafanyeje kazi yani mfano kuku wa kienyeji akitaga tu naweza kuweka kwenye machine hiyo na kifaranga kikatoka au inakuwaje?
embu naomba nieleweshe kifaranga kinatokaje hapo au ni yai la aina gani linatoa kifaranga
nashukuru sana mkuu nilikuwa sijui, asante,Unakusanya mayai idadi ya uwezo wa mashine mfano kuna za mayai 42 mpaka 8000. Hivyo yakifika idadi ya uwezo wa mashine unayaweka kwenye mashine(fuatilia jinsi ya kuweka kweny kijitabu cha maelezo) then unaweka maji na kuunganisha kwenye umeme ili kupata joto na unyevunyevu.
Joto na unyevunyevu kwa kipimo stahiki nadhan unaregulate wewe then baada ya siku 21 unapata vifaranga vyako kulingana na mayai uliyoweka LAKIN VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA otherwise mayai yote yataharibika
Yasizid idadi husika lkn yakiwa chini sawa tu japo kibiashara ni hasara maana umeme ni uleule utakaotumika pia muda ni uleule wa siku 21nashukuru sana mkuu nilikuwa sijui, asante,
na je mayai yakiwa chini ya hapo itakuwaje?
nimekupata vizuri ubarikiwe sanaYasizid idadi husika lkn yakiwa chini sawa tu japo kibiashara ni hasara maana umeme ni uleule utakaotumika pia muda ni uleule wa siku 21
faida gani naweza pata nikiwa na hizo mashine?Unakusanya mayai idadi ya uwezo wa mashine mfano kuna za mayai 42 mpaka 8000. Hivyo yakifika idadi ya uwezo wa mashine unayaweka kwenye mashine(fuatilia jinsi ya kuweka kweny kijitabu cha maelezo) then unaweka maji na kuunganisha kwenye umeme ili kupata joto na unyevunyevu.
Joto na unyevunyevu kwa kipimo stahiki nadhan unaregulate wewe then baada ya siku 21 unapata vifaranga vyako kulingana na mayai uliyoweka LAKIN VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA otherwise mayai yote yataharibika
Bushland faida zipo nying tu mfano ni kupata vifaranga wengi kwa wakati mmoja either uwauze au uwakuze na kuuza wakiwa wakubwa, pia unaweza fanya biashara ya kutotoleshea vifaranga vya wateja wako yaan wanaleta mayai na wewe unatotolesha kwa 500 kwa yai.ni
faida gani naweza pata nikiwa na hizo mashine?
nashukuru sana nikiwa na shida nyingine ntakuja tena,Bushland faida zipo nying tu mfano ni kupata vifaranga wengi kwa wakati mmoja either uwauze au uwakuze na kuuza wakiwa wakubwa,pia unaweza fanya biashara ya kutotoleshea vifaranga vya wateja wako yaan wanaleta mayai na wewe unatotolesha kwa 500 kwa yai.
Mashine ya mayai 1000 mara 500 una 500000 kwa siku 21 tu za mayai kuanguliwa
karibu mkuunashukuru sana nikiwa na shida nyingine ntakuja tena,
barikiwa
Weka mawasiliano kwa ajiri ya kukutafuta kupata hizo spare parts mkuu.Wakuu kama una mashine za kuangulia mayai unaweza pata kutoka kwangu.
1. Spare parts zote za incubators
2. Trays za kuwekea mayai kwenye mashine
3. Tray za kutotoleshea
4. Kufanya repair za mashine mbovu/iliyo haribika
mkuu nakuja pm mara mojaHabari?
Wanajamvi,nimenunua mashine ya kutotolesha vifaranga hivyo napata changamoto ya malighafi yaan MAYAI. Hivyo nanunua mayai YA KIENYEJI yawe yanatokana na kuku halisi wa KIENYEJI.
Mwenye nayo au anaemjua supplier yeyote anayeweza niuzia mayai 500 kila mwezi kwa miezi 4 tuwasiliane PM kwa makubaliano ya bei na mengineyo.
Mimi napatikana Mbeya na vizuri kama supplier atakuwa mbeya na maeneo ya jirani yaan sumbawanga,tunduma,songwe,mbalali,makambako,njombe,iringa,na morogoro
Asanteni!.
Karibumkuu nakuja pm mara moja
Wanasema you may not.....kila nikijaribu kukuPMmkuu nakuja pm mara moja
Mpo mkoa gani?Kwa mahitaji ya mashine za kutotolea vifaranga kuanzia mayai 42 mpaka 8000 wasiliana nasi GODSON POURTY SOLUTION 0689350805 au 0621699422 au livingjong7@yahoo.com pia kwa mahitaji ya vifaranga wa aina zote karibuni