Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Solar Incubators mpya toka IRAN, Zina warranty mwaka m1... zinapatikana kwa bei nafuu.... CALL 0717169816
 
Kama wewe ni mkulima na mfugaji kwa vitendo na ungependa kujumuika na wakulima wenzako whatsapp 0717269137 (kama haulimi wala kufuga haikuhusu) WE NEED SERIOUS PEOPLE
 
Jamani ninauza mashine yangu ya kuangulia inabeba mayai 2162. Dhumuni la kuiuza nataka kutafuta kubwa zaidi garantii ni miezi 8. ni full automatic. Nauza sh. Mil. 1.8 maelewano yapo
 
ninaa Chotara wakubwaaa wazuri wako kama 100 ukinunuaaa wote kwa pamojaa nitakuuziaaa 16000 kilaa mmojaa
.. nicheki 0752-109265
 
naomba mni PM bei za hizo incubator,kwa sabab siwezi kujichinja mwenyewe kwenye bei,ni vizuri nikafaham bei ili niweze kujipanga,
milioni moja mayai 88,inatumia mafuta ya taa.zina guarantee ya mwaka
 
Naomba kupewa mchanganuo Wa incubator na bei zake ingawa mahitaji yangu ni Ile ndogo zaidi kulingana na uwezo wangu. Pia kama Kuna mtu anajua namna ya kutotoresha kwa balbu ya umeme anipe maelekezo ili nijaribu wakati najipanga
 
Ching'wa njoo godson pourty solution tunayo ya mayai 42 ya solar na umeme 350000 warranty ya mwaka mmoja 0621699422 au 0689350805
 
Jamani ninauza mashine yangu ya kuangulia inabeba mayai 2162. Dhumuni la kuiuza nataka kutafuta kubwa zaidi garantii ni miezi 8. ni full automatic. Nauza sh. Mil. 1.8 maelewano yapo
Mkuu mashine ushauza au bado?? Ungeweka na picha na pia maelezo ya ziada kama made in hapa hapa TZ au ni wapi,na pia on average inatoa vifaranga vingapi ingependeza zaidi mkuu.
 
Back
Top Bottom