Labda ninyi mnaosoma ndo hamfungui matangazo yetu vizuri,sio kweli kabisa kuwa kila kona tupo,inategemeana na chombo unachotumia kufungua jamii forum kina uwezo gani.,vinginevyo zitakuchanganya sana.
Jambo la pili tapeli ni tapeli tu,na tapeli haweki matangazo kila kona kama unavyosema,tapeli anaweza kuwa hata kama wewe,watu wakaona umesema la maana,wakakuamini,ukawatapeli.
Sisi mge sio matapeli,na ninaomba sana utuombe radhi kwa kauli hiyo isiyo ya kiustarabu.kama ungetaka kutushauri ungetupigia hata simu au kuandika inbox,lakini si kama ulivyofanya.
Sisi sio matapeli,ni kampuni iliyosajiliwa kisheria,na kama unahitaji taarifa zetu wasiliana nasi kupitia sido mtwara,sido dar es salaam,au karibu ofisini.
Au tupigie simu.