Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Mjasilia mali kama ww ni mwenyej wa dodoma na unahitaji mashine kwa gharama nafuu tuwasiliane kwa namba 0754078015
nitakua dodoma mjine kesho
 
nikweli nilikua sipatikani coz nilikua dodoma nilienda kikazi ila nimeisha rudi dar kama unahitaji incubator tuwasiliane 0754078015
 
ya mayai 90 n sh ngap,,,,,,ama ntumie bei kaml ya kla moja na idad ya mayai inavyochukua mkuu
 
wanajamvi naomba anaejua maduka yanauza thermostat na digital thermometer,naomba na bei zake kabisa.nawasilisha
 
natafuta thermostat na digital thermostat anaejua maduka yanayouza anijuze.
 
Wadau habari,

Nina hitaji kununua zile mashine za kutotolea vifaranga,je naweza kupata kwa bei gani kwa mashine ndogo kabisa?

Naomba mnifahamishe.
 
Je unataka ambayo ni special ya dukani au ya kubumba? Ninachofahamu mimi kuna mtu anae tengeneza incubator ya mayai 450 na huwa anauza hadi laki 5.ukiona unaihitajia nitakupa muelekeo
 
Kuna ndugu humu anatangaza kutengeneza vifaa hivyo. Anaitwa Eliasante Mwakalinga yupo Dsm. Kampuni yake inaitwa MGE, Simu yake ni 0767413039.

Nimeongea naye mchana huu, kwani amenitengenezea moja na anataka kunitumia huku mkoani.
 
Back
Top Bottom