Napenda kuchukua bafasi hii kutangaza huduma tunazozitoa kwenye kampuni zetu za MGE na KGE.
Sisi ni mafundi tuliobobea kwenye ufundi ktk fani mbalimbali.Tunajiamini kwa kuwa tuna vipaji bora vya ufundi licha ya kusomea ufundi mbalimbali.
Kazi zetu ni safi,hatupendezwi na kazi chafu zisizo na viwango,wakati wote tunajali ubora wa kazi na sio kuweka fedha mbele.
Tunawaasa mafundi wengine kuzipenda kazi zao na kufanya kazi kwq umakini ili kusudi waweze kujipatia wateja wengi zaidi na kuboresha vipato vyao.
Kwa mtu yeyote anaehitaji huduma zifuatazoanakaribishwa sana:
1.Egg Incubator,mashine za kutotoleshea mayai za umeme automatic na za mafuta ya taa manual.
2.Anayehitaji mashine hizo za kutotoleshea mayai za kutoka nje ya nchi,kama china,uk,usa,sa,nk.
3.Mwenye mashine iliyoharibika au inayosumbua ya kutotoleshea mayai.
4.Ushauri,mafunzo juu ya utumiaji wq incubator,uleaji wq vifaranga,chanjo zake nk.
5.Installation za umeme mahali.popote,ufungaji wa solar,nk.
6.Uundaji wa inverter,powerbackup,energy servers,nk.
8.Mahitaji ya mayai,kuku,kwale,kanga,bata,nk.
Na huduma zingine nyingi.
Tunapatikana Dar es salaam,mburahati au tabata posta,dsm.
Kwa mawasiliano piga simu,
0784413039.
Usihangaike,tupo kukushauri,achana na njaa,watakuibia pesa zako kwa bidhaa au kazi mbaya,harafu watapotea na kukuachia hasara tupu.
Epukeni sana mafundi wqnaojitangaza kwa vivutio vya bei rahisi,pata muda tuombe ushauri kwetu masaa 24.
TEMBELEA:FACEBOOK,AU TAFUTA MWAKALINGA GENERAL ENTERPRISES.
0784413039.
MWL.ELIASANTE LASTONE MWAKALINGA.