Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Unaweza pata isiyotumia umeme bei ni kulingana na mteja anataka mashine ya ukubwa gani. Endapo unahitaji mashine unataja mashine unayoitaji iweje, iwe inabeba mayai mangapi, iwe inatumia umeme au mafuta iwe automatic ama manual. zen unapewa bei kulingana na oda uitakayo zen unatengenezewa mashine
 
Unaweza pata isiyotumia umeme bei ni kulingana na mteja anataka mashine ya ukubwa gani.

Endapo unahitaji mashine unataja mashine unayoitaji iweje, iwe inabeba mayai mangapi, iwe inatumia umeme au mafuta iwe automatic ama manual. zen unapewa bei kulingana na oda uitakayo zen unatengenezewa mashine
 
Nahitaji inayotumia mafuta inayobeba mayai 90/100.Naweza pata nipo Moshi
 
Nachangia hapo,incubator sio kwamba zinatotolesha ktk siku 21 kama fundi mwenzangu wa incubator ulivyosema,bali nasahihisha hapo kuwa incubator kazi yake ni kuzalisha joto kulingana na joto litakiwalo na ndege anaeatamia,pamoja na unyevu.

MUDA WA KUTOTOLEWA MAYAI UNATEGEMEA AINA YA MAYAI NI YA NDEGE GANI.KWA KUKU NI SIKU 21,BATA WANATOFAUTIANA,KUNA WA SIKU 28,NA SIKU 35,KWARE WA JAPANI SIKU 18 .

KWA MSAADA ZAIDI KIUTAALAM WADILIANA NAMI.

0784413039
 
Kama Unahitaji vifaranga nipigie uweke oda Soon Vinatoka
Vifaranga wa kienyej
Unaweza niwhatsapp na kuweka oda ya vifaranga unavyohitaji
0754078015
 
Kuna mdau mmoja anaitwa Chasha Poultry Farm nilimtembelea Arusha kwa kweli anatengeneza mashine za kipekee sijawahi ziona hapa Tanzania mtafuteni jamaa wanatengeneza mashine ambao ni computerlized na spare zao wao wanachukua Italy.
 
Last edited by a moderator:
Tunatengeneza mashine ndogo za kuangulia vifaranga za kisaaa kwa gharama nafuu. Lengo ni kwa matumizi ya nyumbani. Tunapatikana tegeta dar es salaam... Pia tunaweza kuzisafiriaha popote hapa nchini.

Karibuni. Mashine ya mayai 120 kwa laki nne na nusu tu na mayai 90 kwa laki nne.

Specification.
-backyard forced air incubator
-semi auto machine, manual turning
-user friendly
-digital temperature setting
-power concious 120WATTS
-(+/-) 1 temperature control efficiency
-Automatic cooling mechanism
-3 Hours off electricity
-portability
-1 year warrant


0755815174
WP_20150326_008.jpg
WP_20150326_002.jpg
 
nitakua maeneo ya banana leo kama utahitaji kuonana na mimi nipigie
 
Habari yako mwana Jf bilashaka natumai uumzima,naomba msaada wako natafuta incubator ya bei nafuu ambayo haitumii nguvu ya umeme Wa maji mpya inayokaa mayai kati ya 60-100 kati ya hapo,naomba ni Pm ama contact me 0762283253/Kennnedyshirima09@gmail.com,nashukuru kusoma Uzi huu,asante sana.
 
Haitumii nguvu ya umeme inatumia nini? make mashine zote za umeme zinaweza vile vile tumia solar make huo ndo mbadala na zaidi ya hapo aikudanganye mtu kwamba kuna mashine inaweza perform kwa kutumia ges pekee au sijui mafuta ya taa, mashine ambazo ni automatic ni lazima itumie umeme au solar na solar hutumika pale ambapo umeme haupo, sasa sijui wewe unataka inayo tumia makaa ya mawe
 
Mimi naweza tengeneza ya Mayai 600, 1000, na 1800. bei zake 600= 1500000, 1000= 3.5M. 1800= 4M
 
Incubator mpya from china,uk standads,mayai elfu mbili,milioni tano tu.
1427754012754.jpg
 
Back
Top Bottom