Kampuni ya mge inatimiza miaka saba tangu ianzishwe mnamo miaka saba iliyopita.
Tunapenda kuwashukuru watanzania wote kwa kutuamini sana na kutumia bidhaa zetu.pia tunawashukuru wateja wetu toka msumbiji,comoro,malawi,zambia,ambao kwa nia njema wameungana na sisi kununua bidhaa zetu na kuzitangaza ktk nchi zao.
Tunahitaji kujitangaza zaidi ya hapo tulipofika,na tunahitaji watu watambue kuwa kununua bidhaa yoyote kwetu ni sawa na kuwekeza ktk mali ambayo itazidi kukusaidia kiuchumi.
Pia tunawashukuru wale wote mliotuamini mkatuma fedha zenu,tukawatengenezea mashine,na tukawatumia,mungu awabariki sana.ktk kumbukumbu zetu ni mteja mmoja tu ambae ameshindwa kuwa mwaminifu licha ya sisi kumuamini,tunamuombea kww mungu amfungue ili pepo la dhuluma linalomtawala lishindwe ktk jina la yesu.
Mbali na kufanya kazi zetu kama biashara,lakini pia lengo letu ni kusaidia au kuwawezesha makundi mbalimbali wapate kujitegemea kwa kutumia bidhaa zetu.walengwa wakiwa ni wajane,yatima,vituo vya kulea watoto yatima nk,na kumbukeni kuwa unaposhindwa kuwa mwqminifu unaathiri utendaji wetu.
Mashine zetu za kutotolesha mayai ni ubunifu wetu wa pekee na tuna miliki ubunifu wetu,hivyo ni marufuku kwa yeyote kuiga au kutengeneza mashine yoyote bila kibali chetu.
Hii ni kwa kulinda ubora wa bidhaa zetu kwakuwa hivi sasa watu wengi wameanza kuiga uundaji wa incubator wakitumia ujuzi wa wengine,na hivyo kuunda incubator zisizo na ubora.
Mfano wa bidhaa hizo feki ni bidhaa zilizokutwa kwenye maonyesho,hata muundaji mwenyewe alishindwa kujieleza na kueleza umuhimu wa kugeuza mayai,kwani yeye alitengeneza mashine ambazo akasema hakuna kugeuza mayai.
Mfugaji anaweza kuona hiyo ndio mashine nzuri lakini hiyo ni feki kwwni ili kuumbika kwa kifaranga,yai lazima ligeuzwe,hata kuku anageuza mayai yake.
Tutakuwa na offa kwa watu wote watakaoagiza bidhaa ndani ya mwezi huy wa tatu,mpaka mwezi wa nne.
Yeyote alionaye tangazo hili asikose kumpa taarifa hii ampe taarifa mwenzie.
Tupigie,
0784413039.
Tupo mburahati,dsm.na tabata dsm.