Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Mkuu mashine ya automatic ya mayai kama 1200 kwa makisia ni kiasi gani?
 
Photo0012.jpg
Photo0013.jpg
Photo0015.jpg
 
hzo mashine ni automatic au?
ya mayai 500 bei gan kama automatc ?
 
nashukuru kwa wale mliotumia mashine zangu. Pia nashukuru kwa mlionipa feedback ya mafanikio yenu
 
Asante mkuu,.
Mi npo kijijini na source ya power ni SOLAR TU. Je hakuna mashine ya hvyo?
Itanigharimu shilingi ngapi kwa mashine ya mayai 200 ya solar?.
 
karibu mkuu naamini ww ndiye ulinipigia yester9t, na tukakubaliana utafika kwangu tuweze kuongea,
 
he mnaweza hudumia wafugaji kutotoa mayai tu, je yaweza kuwa sh ngapi? MTU alete mayai, achukue vifaranga.
 
Mkuu shida yangu

Mkuu shida yangu ni hapa kwenye setting.

Kwa maeneo kama ya Dar humidity inatakiwa kua ngapi.?

Na temp iwe ngapi?
Kwasababu niliguata maelekezo ya menu ya kitabu nika weka temp37.5/37.0
Na siku ya 19 nainadilisha pia.

Lakini vifaranga hatotolewi vyote na wanaototolewa wanakua walemavu wa miguu?
Labda unaushauri kuhusu hili?

Au Mdau yoyote anaweza kunipa ishauri nini kifanyike.

Nafikiri litakuja swali mashine unayotumia.

Najibu kabisa:
Ni brinsea na ni auto.
Brinsea ni katika mashine maarufu duniani na zina ubora kiasi fulani.
 
he mnaweza hudumia wafugaji kutotoa mayai tu, je yaweza kuwa sh ngapi? MTU alete mayai, achukue vifaranga.

Kama upon Dar es salaam tuwasiliane ..... tunakuangulia vifaranga kwa Mayai ya kuku wako kwa ufanisi mkubwa
 
Back
Top Bottom