and scientifically! huyu jamaa amewahi kusikia kuku wa kienyeji anayetaga bila dume? sidhani kama amewahi kuwafuga kweli!
binafsi cjawahi kusikia but why kama umefikia kiasi hicho cha kuku unaweza kabisa kua company au mtu binafsi auzie mayai ya kuku wa asili? fanya yafuatayo!Nna jumla ya kuku wa kienyeji 77 mpaka kufikia jana out of them mitetea mikubwa ni 22,kati ya hao 22 kwa sasa 9 wameanza kutaga.Mm nawafuga just for funny (kujifurahisha tu kutokana na kuwapenda kuku) ila nataka nianze kuwafuga kibiashara zaidi hivyo nikawa najiuliza je hakuna kampuni inayouza mayai ya kuku wa kienyeji ili niwe nayatotolesha mwenyewe kwenye icubator na kupata vifaranga wengi kwa wakati mmoja?
binafsi cjawahi kusikia but why kama umefikia kiasi hicho cha kuku unaweza kabisa kua company au mtu binafsi auzie mayai ya kuku wa asili? fanya yafuatayo!
1)Ongeza idadi ya kuku jike
2)Kuku amalizapo kutaga mnyang'anye mayai mweke kwenye banda la majogoo aanze upya kutaga!
3)kama unacho hicho kifaa cha incubetor kitumie kwa hayo mayai utakao wanyang'anya hao kuku kama hauna hakikisha unabakiza kuku wachache kwa ajili ya kulalia wastani wa mayai 11 na kuendelea!

Ni kweli kwenye post ya "unataka kuwa tajiri" ilielekeza jinsi ya kuwafanya hao kuku wako wote walalie kwa pamoja na pia Kubota aliijaribu na kuielezea hapa. Kama utaona ugumu kuwafanya watotoe kwa pamoja chukua mayai yao hao tetea weka kwenye machine ila fuata vigezo yasizidi siku 7, uyakague kama ni fertilized nk. Kwa kuku 22 ukivizia wote wametaga walau kwa siku 7 hutakosa mayai 100 na hiyo ndo batch yako ya kwanza. Mimi nimeanza na tetea au jike 6 tayari wanataga nawasubiria wawe wengi nitaanza kutotolesah kwa mashine sasaivi kila mmoja namwacha analalia na kutotoa kivyake. Kila la heri
:A S thumbs_up: Wanajamvi heshima kwenu wote, Kwa wajasiliamali wafugaji wa kuku na ndege wa aina mbalimbali napenda kuwaletea habari njema na kwamba mashine za kisasa zenye uwezo wakutotoa mayai 96 kwa mkupuo mmoja, ziko automatic zinapatikana kwa bei nzuri na zina guarantee. Kwa anayetaka kukuza biashara yake hii wawezakuni PM au piga simu 0762354090 kwa taarifa zaidi au tuma email: ndamwe@gmail.com