Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Mkuu nahitaji moja,tupia bei,ila mayai 96 mbona ni machache sana?kama Mtu unataka upige bness?mm nahitaj kubwa ambayo inaweza kutotoa mayai let say tray 20 at a time,au zaidi,mayai 96 mkuu ni tray 3 tuu.kama unapiga bness ni hasara kaka

mkuu kama ushaipata please feedback.. iam in need too..
 
Wadau, poleni kwa usumbufu. Stock iko tayari kwani zilikuwa zimeisha ndo maana mawasiliano yalisimama kidogo. Bei 400k (laki nne tu). Ziko bomba, automatic na waranti ya miaka mitatu. Stock siyo kubwa, wahi kwa anayehitaji nipigie 0762354090.Hizi ni za uwezo wa kutotoa mayai 100 tu, ila kubwa zaidi sina kwa sasa. tuko pamoja wadau
 
Incubator toka U.K zenye uwezo wa kutotoresha vifaranga 1056 kwa wakati mmoja zinauzwa,zitawasili nchini mnamo tarehe 11 March,incubator moja bei yake ni Tshs 2,500,000/= kwa yeyote mwenye kuhitaji anaweza kuni inbox au anitafute kwa 0713670026
 
Wadau, poleni kwa usumbufu. Stock iko tayari kwani zilikuwa zimeisha ndo maana mawasiliano yalisimama kidogo. Bei 400k (laki nne tu). Ziko bomba, automatic na waranti ya miaka mitatu. Stock siyo kubwa, wahi kwa anayehitaji nipigie 0762354090.Hizi ni za uwezo wa kutotoa mayai 100 tu, ila kubwa zaidi sina kwa sasa. tuko pamoja wadau
Una maana gani unaposema automatic?mayai yanajigeuza yenyewe au ni vip?
 
Heshima kwenu wadau,

naomba kufahamu kama ukiagiza kutoka nje ya nchi mashine tajwa zina kodi. Fikra zangu ni kuwa hazina kodi kwasabubu ya mkakati wa kilimo kwanza.

Naomba wenye uweledi wanijuze.
 
Heshima kwenu wadau,

naomba kufahamu kama ukiagiza kutoka nje ya nchi mashine tajwa zina kodi. Fikra zangu ni kuwa hazina kodi kwasabubu ya mkakati wa kilimo kwanza.

Naomba wenye uweledi wanijuze.

Kaulize Tra kwa uhakika zaidi.
 
kwa nini uagize nje wakati SIDO wanatengeneza!!!!???

Nenda na specificatio zako watakutengenezea ukubwa wowote unaotaka na warrant unapewa. Thamini cha nyumbani
 
Wakuu Si mngeweka hizo website za hizo kampuni ili wengine wanaohitaji wapate kufaidi?
 
Wakuu, mimi ni Mstaafu Mtarajiwa, Natafuta incubator yenye uwezo wa kutoa vifaranga wa kuku na bata kati 500- 1000 kwa mara moja. Ni mradi ambao unaweza kujiajiri mwenyewe na ukaweza kuishi bila kutegemea ppf au NSSF.
 
Nenda SIDO dsm nyerere rd. muone Imberuzi au Kapalata.
 
vipi umefikia hatua gani ya mradi wako maana hata na sisi wengine pia tunatamani kujiajiri kwa kuwekeza katika miradi mbalimbali na kama ulifanikiwa je inalipa??
 
vipi umefikia hatua gani mkuu maana na sisis wengine pia tunatamani kuja kufanya miradi kama hiyo lakini tunaomba utupe feed back kama ulianza na changamoto unazopambana nazo na je inalipa au??
 
Nimejaribu kufuatilia hizo machine kwa muda mrefu sana. tatizo kubwa ya mashine za hapa bongo na china zina uwezo mdogo sana wa kuangua. sido kuna machine za Imberuzi lakini nina reference ya machine zao zaidi ya nne hazifanyi kazi na wahusika hawatoi msaada wowote. kuna kampuni moja ya south africa wana machine nzuri sana. ingawa bei ipo juu lakini hutajuta kuchukua machine zao zina brandname ya surehatch. jaribu kuzitafuta kama ukishindwa ni pm niweze kukusaidia.
 
Salaam wana JF!!!!! nahitaji mashine kwa ajili ya kutotoleshea vifaranga hivyo basi naombeni mnisaidie wapi na weza pata incubator genuine inayotumia umeme yenye uwezo wa kupack mayai 100-200. Msaada toka kwenu wakuu!
 
Back
Top Bottom