Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Mkuu nahitaji moja,tupia bei,ila mayai 96 mbona ni machache sana?kama Mtu unataka upige bness?mm nahitaj kubwa ambayo inaweza kutotoa mayai let say tray 20 at a time,au zaidi,mayai 96 mkuu ni tray 3 tuu.kama unapiga bness ni hasara kaka
Una maana gani unaposema automatic?mayai yanajigeuza yenyewe au ni vip?Wadau, poleni kwa usumbufu. Stock iko tayari kwani zilikuwa zimeisha ndo maana mawasiliano yalisimama kidogo. Bei 400k (laki nne tu). Ziko bomba, automatic na waranti ya miaka mitatu. Stock siyo kubwa, wahi kwa anayehitaji nipigie 0762354090.Hizi ni za uwezo wa kutotoa mayai 100 tu, ila kubwa zaidi sina kwa sasa. tuko pamoja wadau
Aotomatic una managani?embu fafanua
Heshima kwenu wadau,
naomba kufahamu kama ukiagiza kutoka nje ya nchi mashine tajwa zina kodi. Fikra zangu ni kuwa hazina kodi kwasabubu ya mkakati wa kilimo kwanza.
Naomba wenye uweledi wanijuze.
automatic temperature and humidity control .... Naweza kukuunganisha nilipo nunua china wanauza parts zote za. Incubator bei poa sana