Mashine za kuuza maji kwa coin zinauzwa

Fastercapital

Member
Joined
Jul 25, 2019
Posts
62
Reaction score
215
Zipo mashine tatu za kuchakata maji kuwa safi.

Kila mashine ina uwezo wa kuzalisha lita 250 kwa saa na inatumia mfumo wa coin katika uendeshaji.

Mashine zote zipo katika hali nzuri (used) na zinapatikana Dar es Salaam.

Bei ni TZS 6,000,000 kwa kila moja.

Kwa wateja wa mikoani, tunatuma mzigo.

Mawasiliano: 0692 595 127

 
Hiv huzaa yenyewe maji kwa process gan , bado cjajua jinsi inavyofanya kazi

Na je ndan ya lisaa 1 hutumia unit ngap za umeme ?
 
Kumbe ghali sana? Naona yamezagaa dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…