Mashine za NIDA zote wilaya ya Arusha zaibwa

polisi kuweni tu na subira, hao jamaa wameona tabu kupanga foleni... waacheni watumie weee wakimaliza kujisajiri watawarudishia...
 
Nashauri watumie “Dogstyle” kuwatia nguvuni wezi, au mbinu ile ya Mwakalukwa (Tabora) ya kuwabaini wanaopanga kujinyonga.... intelijensia inafeli wapi..?
 
Hii michezo danganya toto tu. Mashine ziibiwe Arusha lakini anaeongelea ni mkuu wa wilaya ya Arumeru.
 
Siyo kweli
Kama walikuwa na nia hiyo haina hata haja ya kusema vimeibiwa isipokuwa wangeagiza tu baada ya zoezi kuwa vipelekwe kwa mkuu wa mkoa au wilaya, kwani nani angekataa?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
ivi umevuta bangi ya wapi...? vitambulisho vya nida na vya kupigia kula wapi na wapi...?
 
Na huu ndio ukweli
 
Kuna baadhi ya viongozi wanatafutwa ili watumbuliwe ndio njia iliotumika ili kuwapata
 
Utata mtupu jibaneneni wenyewe kwa wenyewe mrudishe hizo mashine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…