bilemasome Member Joined Oct 31, 2016 Posts 48 Reaction score 9 Sep 14, 2021 #1 nauza hizi mashine za Stationary..chagua unayoipenda hapo..njoo na ofa yako nzuri kabisa ..tuafikiane uchukue bidhaa.. NB. Zimeharibika hazifanyi kazi..ila unaweza ukazirekebisha zikapiga mzigo tena. Zipo Muleba, Kagera..! Tukiafikiana bei, nakusafirishia mm mwenyewe mpaka hapo ulipo kama upo Dar. Namba: 0744505170 please piga au text kama upo serious na biashara.
nauza hizi mashine za Stationary..chagua unayoipenda hapo..njoo na ofa yako nzuri kabisa ..tuafikiane uchukue bidhaa.. NB. Zimeharibika hazifanyi kazi..ila unaweza ukazirekebisha zikapiga mzigo tena. Zipo Muleba, Kagera..! Tukiafikiana bei, nakusafirishia mm mwenyewe mpaka hapo ulipo kama upo Dar. Namba: 0744505170 please piga au text kama upo serious na biashara.
K Kajeba JF-Expert Member Joined Oct 15, 2020 Posts 1,057 Reaction score 2,364 Sep 14, 2021 #2 JF ipo kwaajili yetu wanadaslam Huko porini katangazie facebook
No SQL JF-Expert Member Joined Nov 8, 2014 Posts 7,063 Reaction score 12,563 Sep 15, 2021 #3 Mkuu hvyo vitu ni old technology sana...gharama ya kusafirisha inaweza kuzid bidhaa unayouza...tunza tu
Mkuu hvyo vitu ni old technology sana...gharama ya kusafirisha inaweza kuzid bidhaa unayouza...tunza tu