INAUZWA Mashine za Stationery zinauzwa

INAUZWA Mashine za Stationery zinauzwa

bilemasome

Member
Joined
Oct 31, 2016
Posts
48
Reaction score
9
nauza hizi mashine za Stationary..chagua unayoipenda hapo..njoo na ofa yako nzuri kabisa ..tuafikiane uchukue bidhaa..

NB. Zimeharibika hazifanyi kazi..ila unaweza ukazirekebisha zikapiga mzigo tena.

Zipo Muleba, Kagera..!
Tukiafikiana bei, nakusafirishia mm mwenyewe mpaka hapo ulipo kama upo Dar.

Namba: 0744505170

please piga au text kama upo serious na biashara.

IMG-20210914-WA0011.jpg
IMG-20210914-WA0009.jpg
IMG-20210914-WA0008.jpg
 
JF ipo kwaajili yetu wanadaslam
Huko porini katangazie facebook
 
Mkuu hvyo vitu ni old technology sana...gharama ya kusafirisha inaweza kuzid bidhaa unayouza...tunza tu
 
Back
Top Bottom