Wana JF naomba kujuzwa juu ya ukweli wa mashine za kupimia magonjwa mbali katika clinic za tiba za jadi,maana nimekua nikijiuliza juu ya ufanisi wake na kama kweli zina faa kwanini serikali isizisambaze katika kila zahanati?
wana jf naomba kujuzwa juu ya ukweli wa mashine za kupimia magonjwa mbali ktk clinic za tiba za jadi,maana nimekua nikijiuliza juu ya ufanisi wake na kama kweli zina faa kwann serikali isizisambaze ktk kila zahanati?