Mashine za upimaji magonjwa katika clinic mbalimbali

Mashine za upimaji magonjwa katika clinic mbalimbali

mumak

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2013
Posts
1,069
Reaction score
668
Wana JF naomba kujuzwa juu ya ukweli wa mashine za kupimia magonjwa mbali katika clinic za tiba za jadi,maana nimekua nikijiuliza juu ya ufanisi wake na kama kweli zina faa kwanini serikali isizisambaze katika kila zahanati?
 
wana jf naomba kujuzwa juu ya ukweli wa mashine za kupimia magonjwa mbali ktk clinic za tiba za jadi,maana nimekua nikijiuliza juu ya ufanisi wake na kama kweli zina faa kwann serikali isizisambaze ktk kila zahanati?

Wasambaze af pesa ya kuiba watoe wap
 
Back
Top Bottom